Matoleo mengine mapya ya ‘Mwongozo’
Miongozo ya kisasa inayomhusu Muislam katika Nyanja zote za maisha,
Nenda katika hazina ya programu.(appstore)
SHERIA NYEPESI NA UFAFANUZI MUHIMU WA KISHERIA KATIKA KUAMINI, KUABUDU NA NYANJA ZOTE ZA MAISHA
Kuangalia Milango yote ya kitabu cha Mwongozo Mwepesi wa Muislam Bonyeza hapa
Mtandao wa Mwongozo Mwepesi wa Muislam ni kitabu cha Mtandaoni cha kitabu asili ‘Mwongozo Mwepesi wa Muislam’ ambacho ni moja ya mradi wa Kampuni ya Mwongozo wa Kisasa na kimetolewa katika Lugha Zaidi ya 15 na maudhui yake yameambatana na ujuzi mkubwa wa kimtandao katika kufikisha.