You are here

Sisi ni kina Nani?

×

Error message

Deprecated function: Function create_function() is deprecated in views_php_handler_field->pre_render() (line 202 of /var/www/drupal7-websites/sites/all/modules/contrib/views_php/plugins/views/views_php_handler_field.inc).
Kazi za Kampuni
 Kutoa na kusambaza Machapisho na Vitabu na Programu za Mtandaoni kupitia hazina ya program(Appstore) na mashirika ya kimataifa ya uchapishaji wa kimtandao.
 Maono ya Kampuni
Shirika la kwanza duniani katika utoaji wa Matoleo na huduma za kielimu zilizo na ubora wa hali ya juu wenye hadhi ya kimataifa pamoja na kushirikiana na washirika wetu kwa ajili ya kuwafikia sehemu kubwa ya walengwa.
 Ujumbe wa Kampuni
Kiongozi wa Uundaji na Utengenezaji wa Matoleo na Huduma za kielimu zilizo na ubora wa Hali ya juu.
 Mtandao wa Kampuni
Tembelea mtandao wa kampuni ya ‘Mwongozo wa Kisasa’ kupitia kiunganishi kifuatacho

Mwongozo Mwepesi wa Muislam

Mtandao wa Mwongozo Mwepesi wa Muislam ni kitabu cha Mtandaoni cha kitabu asili ‘Mwongozo Mwepesi wa Muislam’ ambacho ni moja ya mradi wa Kampuni ya Mwongozo wa Kisasa na kimetolewa katika Lugha Zaidi ya 15 na maudhui yake yameambatana na ujuzi mkubwa wa kimtandao katika kufikisha.

Modern Guide