TABIA ZA MUISLAMU

Tabia njema katika Uislamu sio jambo la anasa wala la ziada. Tabia njema ni sehemu muhimu inayofungamana na dini katika pande zake zote. Tabia na maadili mema katika Uislamu yana nafasi na daraja la juu sana. Linadhihirika wazi hilo katika hukumu na sheria zote za Kiislamu. Mtume, swallalahu alayhi wasalam, ameletwa ili aje kutimiza maadili na tabia njema.
Nafasi ya maadili na tabia njema katika Uislamu:
Manufaa ya tabia njema katika Uislamu:
Mifano katika maisha ya Mtume: